mimi pia ni mmoja wa wanachuo ninaye soma katika chuo cha st aggrey katika idara ya ustawi wa jamii ngazi ya sita nimefadika sana na chuo hiki kwa kupata huduma stahiki na kwa muda muafaka ada ni nafuu sana nafarijika sana kuwa katika chuo hiki karibuni sana st aggrey
CHUO KIMEJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU BORA NA MAFUNZO BORA YANAYOKIDHI MATAKWA YA WATEJA NA KUWA MFANO WAKUIGWA KATIKA UJENZI WA TAIFA. CHUO KIMEFANIKIWA KUWATOA WALIMU WENGI AMBAO WAMETAWANYIKA TANZANIA NZIMA WAKIENDELEZA GURUDUMU LA KULIJENGA TAIFA.
CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE KWA NAMBARI REG/TLF/056, USAJILI WAKUDUMU. CHUO KINATOA MAFUNZO YA UALIMU, MAENDELEO YA JAMII NA USTAWI WA JAMII KWA NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA.
mimi pia ni mmoja wa wanachuo ninaye soma katika chuo cha st aggrey katika idara ya ustawi wa jamii ngazi ya sita nimefadika sana na chuo hiki kwa kupata huduma stahiki na kwa muda muafaka ada ni nafuu sana nafarijika sana kuwa katika chuo hiki
JibuFutakaribuni sana st aggrey