.

.

Ijumaa, 28 Aprili 2017

KANUNI ZA KUTAFUTA MAENEO YA MAUMBO BAPA.

NA.UMBO/MCHOROKANUNI
1.Mraba.
formula1
Eneo la Mraba.
Eneo = Upande \times Upande
2.Mraba wenye ulalo (diagonal).
formula2
Eneo la Mraba iwapo umepewa ulalo (diagonal).
Eneo =( \frac{1}{2} \times ZO \times WY) \times 2
3.Mstatili.
formula3
Eneo la Mstatili.
Eneo = Urefu \times Upana
4.Pembetatu.
formula4
Eneo la Pembetatu.
Eneo = \frac{1}{2} bh
b = kitako \; \; h = kimo
5.Pembetatu yenye kivuli.
formula5
Eneo lililotiwa kivuli.
Eneo \; lililotiwa \; kivuli= Eneo \; la \; \Delta (WXZ) \; kutoa \; Eneo \; la \; \Delta (WYZ)
Eneo \; lililotiwa \; kivuli= \frac{1}{2}(a + b)h - \frac{1}{2} ah
Au
Eneo \; lililotiwa \; kivuli= \frac{1}{2} bh
6.Trapeza (tenge).
formula6
Eneo la trapeza (tenge).
Eneo = \frac{1}{2}(a + b)h
7.Msambamba.
formula21
Eneo la msambamba.
Eneo = bh
8.Duara.
formula7
Eneo la duara.
Eneo = \pi r^2 \; \; AU \; \; Eneo = \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
9.Nusu duara.
formula8
Eneo la nusu duara.
Eneo = \frac{1}{2} \pi r^2 \; \; AU \; \; Eneo = \frac{1}{2} \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
10.Robo duara.
formula9
Eneo la robo duara.
Eneo = \frac{1}{4} \pi r^2 \; \; AU \; \; Eneo = \frac{1}{4} \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
11.Robo tatu duara.
formula10
Eneo la robo tatu duara.
Eneo = \frac{3}{4} \pi r^2 \; \; AU \; \; Eneo = \frac{3}{4} \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
12.Sekta.
formula11
Eneo la secta.
Eneo = \frac{\theta}{360} \pi r^2 \; \; AU \; \; Eneo = \frac{\theta}{360} \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
13.Eneo lililotiwa kivuli.
eneo3
Eneo la secta.
Eneo = \pi R^2 - \pi r^2\;\;AU\;\;Eneo = \frac{\pi D^2}{4} - \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}\;\;kipenyo, \; \; d = kipenyo.

KANUNI ZA KUTAFUTA MAENEO YA NYUSO ZA MAUMBO YA UKUMBI.

NA.UMBO/MCHOROKANUNI
1.Mche mstatili.
formula20
Eneo la mche mstatili.
Eneo = (ur. \times up. \times 2) + (ur. \times h \times 2) + (up. \times h \times 2)
ur. = urefu, \;\; up. = upana, \;\; h = kimo
2.Mche duara ulio wazi pande zote.
formula17
Eneo la mche duara ulio wazi pande zote.
Eneo = 2 \pi rh \;\; AU \;\; Eneo = \pi dh
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
3.Mche duara uliozibwa upande mmoja.
formula19
Eneo la mche duara uliozibwa upande mmoja.
Eneo = 2 \pi rh + \pi r^2 \;\; AU \;\; Eneo = \pi dh + \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
4.Mche duara uliozibwa pande zote.
formula18
Eneo la mche duara uliozibwa pande zote.
Eneo = 2 \pi rh + 2 \pi r^2 \;\; AU \;\; Eneo = \pi dh + 2 \frac{\pi d^2}{4}
\pi = \frac{22}{7}, \; \; r = \frac{1}{2}kipenyo, \; \; d = kipenyo.
5.Mche pembetatu.
formula13
Eneo la mche pembetatu.
Eneo = [E \Delta (ABE) \times 2 ]+ [E(ABCF) \times 2] + [E(AEDF) \times 2] + [E(EBCDE)\times 2]
5.Mche mraba.
formula22
Eneo la mche mraba.
Eneo = (Up. \times Up. \times 6)
Up. = upande

Maoni 11 :

AGGREY TEACHERS' COLLEGE MBEYA

AGGREY TEACHERS' COLLEGE MBEYA

LIKE US ON FACEBOOK

VIEWERS

Aggrey Teachers' College-Mbeya. Inaendeshwa na Blogger.

PAKUA APP YETU HAPA

E-LIBRARY (MAKTABA)

E-LIBRARY (MAKTABA)
SOMA VITABU HAPA.

Popular Posts

*

*

ABOUT

CHUO KIMEJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU BORA NA MAFUNZO BORA YANAYOKIDHI MATAKWA YA WATEJA NA KUWA MFANO WAKUIGWA KATIKA UJENZI WA TAIFA. CHUO KIMEFANIKIWA KUWATOA WALIMU WENGI AMBAO WAMETAWANYIKA TANZANIA NZIMA WAKIENDELEZA GURUDUMU LA KULIJENGA TAIFA.
CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE KWA NAMBARI REG/TLF/056, USAJILI WAKUDUMU. CHUO KINATOA MAFUNZO YA UALIMU, MAENDELEO YA JAMII NA USTAWI WA JAMII KWA NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA.
WASILIANA NASI:-
0754 418 743
0757 412 126
0756 477 090
E-mail: aggreyttc@yahoo.com
Blogsite: www.aggreyteachers'college.blogspot.com